Pages

Pages

Sunday, June 24, 2012

HILDA EDWARD AWA MISS DAR INTER COLLEGE 2012


Miss Dar Inter College 2012, Hilda Edward akiwa washindi wake wa pili Jamila Hassan kulia na Rose Muchunguzi kushoto, baada ya shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho, katikati ya Jiji la Dar es Salaam 









Hilda akipigana busu moto moto la pongezi na Miss Dar Inter College aliyevua taji Blessing Ngowi


TOP 5; Kutoka kulia Veronica Yole, Sada Suleiman, Rose Muchunguzi, Jamila Hassan na Hilda Edward

DIAMOND PLATINUM;  Nassib Abdul akitumbuiza kwa hisia, kibao Wema Wangu mbele ya jaji Wema Sepetu, ilikuwa tamuuu

No comments:

Post a Comment