Pages

Pages

Friday, June 15, 2012

MISS DAR CITY CENTER LEO


 Washiriki wa kinyanganyiro cha Redds Miss Dar City Centre wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kwenye kambi yao Kiromo Hotel mjini Bagamoyo.Fainali hiyo itafanyika kwenye Hotel ya Golden Tulip leo Juni 15, 2012.
Warembo hao wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazoezi yao.

No comments:

Post a Comment