Pages

Pages

Monday, June 4, 2012

MISS LINDI JUNE 30 DOUBLE M HOTEL

SHINDANO la urembo la Miss Lindi  2012 litafanyika Juni 30 kwenye ukumbi wa Double M Hotel mjini humo, warembo watakaowania taji hilo wanatarajiwa kuanza kujinioa juni 24 chini ya Caroline Zayumba.

 Mratibu wa Shindano hilo Shah Ramadhan ameambia mamapipiro blg kwamba  mpaka sasa wameshapatikana warembo 12 kwa ajili ya kuwania taji hilo linaloshikiliwa na Loveness Flavian (pichani) ambaye alishika namba tano katika fainali za Miss Tanzania mwaka 2011.
 Shah amesema mpaka sasa kampuni za bia Tanzania (TBL) kupitia bia ya Redd’sa, Naf Blue View Hotel, Fancity Lounge, Ndanda Springs Water na Muhsin Enterprises.

No comments:

Post a Comment