Pages

Pages

Wednesday, July 4, 2012

BAUCHA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI HUKO ZANZIBAR USIKU WA KUAMKIA LEO.

Pichani ni Producer Baucha.
"Mambo vipi?......Nimefiwa na Baba mzazi leo usiku Julai 4 2012,najua wewe ni mtu muhimu kukutaarifu, Kwanza nasubiri kuelekea Zanzibar kwa mazishi.....Baucha
Kwa mujibu wa SMS yake aliyonitumia saa 9:30  usiku Ally Baucha ambaye ni mmiliki na producer wa studio za kurekodia muziki maarufu kwa jina la BAUCHA RECORDS na mara baada ya taarifa hizi nilifanikiwa kuzungumza naye pia usiku huu huu.
 Tuzidi kumwombea kwa Mola amtie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.

No comments:

Post a Comment