MISS UTALII KINONDONI 2012 WAKIWA MAZOIZINI
Baadhi ya washiriki wanaowania taji la Miss utalii kinondoni
2012 wakiwa katika mazoezi ya catwalk ambapo fainali za shindano hilo ni july
14 mwezi huu katika hoteli ya travertine iliyopo magomeni jijini Dar es
salaam,umla ya warembo 15 wanachuana
siku hiyo.
No comments:
Post a Comment