NAS & KELIS WARUDIANA KIMAPENZI
Gwiji la hip-hop nchini Marekani Nas usiku wa kuamkia jana alioneka wako beneti na mpenzi wake wa zamani Kelis ambae alitamba na kibao cha milkshake usiku huo walikuwa kama ndo kwaanza wamejuana siku hiyo.
Nas aiambia mitandao maarufu duniani inayotoa habari za watu maarufu ukiwepo huu hapa kwamba ameamua kuweka tofauti zake kando na kuamua kuwa karibu na mama watoto wake ili kutoa fulsa kumpa mtoto wao kupata malezi bora toka kwa wazazi hao.
Knight ni mtoto wa Nas jana alionekaana mwenye furaha ambao aliambata na wazazi wake katika chakula cha usiku ,hii itatoa fulsa mpya kwa Knight kuwa na afya bora kwani atapata malezi bora toka pande zote mbili.
No comments:
Post a Comment