Pages

Pages

Wednesday, September 12, 2012

PENZI LA NELLY NA ASHANTI UPYAA ILE KIBOLIBO..!!

Nelly and Ashanti
Artist Nelly  na  mwaadashoti Ashanti mwishoni mwa wiki hii walionekana pamoja wakiwa  compound night club ,Atlanta,GA  veri close bila shaka  kama ilivyokuwa awali kipindi cha unono wa penzi lao.
Habari zilizopo  huko majuu ni kwamba Nelly na  shanti wamerudiana baada ya kuuvunja uhusiano wano wao wao ambao ulivunjika kitambo.
Ashani na nelly wote ni watangaza katika jiluninga tofauti  nelly "the next" na Ashant "fuse news"

No comments:

Post a Comment