Pages

Pages

Thursday, September 13, 2012

UZURI WA MWANAMKE SI UREMBO ..BALI TABIA..!!

 Ecstasymodels_tierra_large  
 Uzuri wa mwanake si urembo ni tabia,laiti kama ingelikuwa hivyo basi wanawake wabaya wasingeliolewa kabisa na pengine wanawake wasio na mvuto wasingetolewa mahali kabisa.
 Wewe kamakijana wa kiume unatakiwa kuwa mchaguzi sahihi wakati wa kuoa kwani kuna wengi walikimbilia uzuri wakaishia kulia na doa zao zikavunjia japo si kwa wanawake wote wazuri ni pasua kichwa katika ndoa.
 Neno langu si sheria japo ni muhimu kutafakari kwa kina japo ni muhimu kuoa mke mwenye mvuto usije ukawa unamtanguliza mbele au kumuacha hatua mbili nyuma ili watu wasijue kuwa ndio mkeo.

No comments:

Post a Comment