Pages

Pages

Thursday, November 8, 2012

ALLY DAXX MWANAMITINDO WA KIUME TOKA TANZANIA ALIEVUKA MIPAKA


Ally Dax apiga hatua katika sanaa ya mitindo ambapo sasa anaishi nchini Afrika ya kusini akiwa na mikata na modelling agency za nchini Afika kusini na hii ndiyo picha ya kava la jarida maarufu nchini marekani liitwalo  PEOPLE MAGAZINE lilitoka mwezi huu, Big up to hommie..!! 
Nakumbuka kipindi kile tuko Tanzania super model 2006,ally alikuwa kaprint t-shirt yake kameandikwa  Ali vondach....hahahah leo anajiita Daxx hans,,,mungu mkubwa..!!

No comments:

Post a Comment