Pages

Pages

Friday, November 16, 2012

JAMES BLAKE AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA SIKU NYINGI


MCHEZAJI wa tenisi James Blake, ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Emily Snider.

Kubwa lilovutia katika harusi yao sio kufunga ndoa kwa wapenzi hao ila jinsi wawili hao walivyofunga ndoa katika fukwe moja huko California.

Blake ambaye alishawahi kuwa mchezaji bora katika mchezo, amekuwa ni mchezaji wa kwanza wa mchezo huo kufanya tukio kama hilo lilovuta hisia za wengi.

James, 32, alionekana kuwa mtu mwenye furaha hasa kutokana na kumuona binti yao mwenye miezi sita akiwepo katika tukio hilo muhimu.

No comments:

Post a Comment