MSANII JOHN MAGANGA AZIKWA LEO JIJINI DAR
Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John
Maganga, wakati wa kuaga mwili huo, Mwananyamala, Dar es Salaam
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM na Mjumbe wa NEC, Nape Nnauye akitoa salam za Chama, kwenye
msiba wa msanii, Joseph Maganga, Mwananyamala, Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment