Pages

Pages

Monday, November 5, 2012

MUANDAAJI MISS SHINYANGA ABAKI MDOMO HAAAA..!! MATOKEO YA MISS TANZANIA

                                                                  Miss Shinyanga 2012.
         Akiwa katika pozi tofauti jana usiku kambini Giraffe ocean view hotel.
Muandaaji mwenye mbwembwe toka Shinyanga Asela amebaki mdomo haaaa..!! baada ya mrembo wake kuishia 15 bora, kama ilivyokuwa kwa asela kuwa na mbwembwe za hapahapa amejikuta akiambulia 15 bora angali alizani mrembo wake angenyakua taji la Miss Tanzania 2012.

Muandaaji wa Kinondoni ametoka kidedea baada mrembo wake bridgit ambae ni Mis Sinza, Miss Kinondoni pia Miss Tz 2012 kuwabwaga warembo 29 jukwaani.

No comments:

Post a Comment