Pages

Pages

Saturday, November 24, 2012

UNIQUE MODELS WANG'ARA ONYESHO LA KHANGA ZA KALE@SERENA HOTEL

Washiriki washindano bora la wanamitindo nchini Tanzania Unique model 2012 wakiwa jukwaani kuonyesha ubunifu wanguo zilizotengenezwa kwa khanga ambazo zimebuniwa nambunifu mahiri Asia Idarus Khamsin,onyesho hili lilifanyika jana usiku katika hoteli ya Dar es salaam Serena jijini Dar.
Mkurugenzi wa shindano la Unique model,unique Entertaint blog na kampuni ya Unique Entertainment Superman Magese akionyesha umahili wa catwalk jukwaanik,hii inakumbukia enzi zake akiwa model alikuwa mkali wa caltwalk ile mbayaaa,akiwa amevalishwa na Asia Idarous.
Mpito huu ulikuwa kwa maselebrity tu Sauda mwilima,othman michuzi,cathbert kajuna na Superman magese.
Baadhi ya wanamitindo wanaowania taji la Unique model 2012 wakiangalia fashion show ya Khanga za kale baada ya kushuka jukwaani.(katikati) ni afisa mipango wa unique model Yasinta Julias akitake some fotoz.

No comments:

Post a Comment