Pages

Pages

Thursday, November 1, 2012

USAILI UNIQUE MODEL NI NOV 18 SAA NNE ASUBUHI @ LAMADA HOTEL

Usaili wa wanamitindo wanaowania kushiriki shindano la Unique model 2012 utafanyika katika Hotel ya Lamada iliyopo maeneo ya msimbazi Ilala,shughuli nzima ya usaili itaanza saa nne asubuhi. 
Mkurugenzi wa shindano la Unique model akizungumza na waandishi wa habari jana katika hoteli ya Holiday Inn ambapo mchakato huo umefunguliwa rasmi,kushoto ni Afisa mipango wa shindano la unique model Yasinta julius na Happy Mushi (katikati) ambae ni Head of finance.
Kutoka
Kutoka kulia ni Denic Lucas ambae ni mwalimu wa dansi wa washiriki akifatiwa na Mariam Hamis mbae ni Mkuu wa itifaki.


No comments:

Post a Comment