Pages

Pages

Sunday, November 11, 2012

UZINDUZI WA WINDHOEK KAHAMA NA EXTRA BONGO

Banza Stone baada ya kuwachengua mashabiki wa Kahama na Wimbo wake wa 'Mtaji wa Masikini.
Katikati ni Mshauri wa Kampuni ya Mabibo Beer,Wines&spirits Ltd katika picha ya pamoja na wanamuzi na wadau wa Windhoek , kushoto kabisa ni Muimbaji Banza Stone.
Super Nyamwela akiongoza show na Kiongozi wa Extra Bongo Ally Choki.
Safu ya wanenguaji wa kiume wakiongozwa na Nyamwela katikati.
Robart mwili mtamu aka Rick Ross.
Rama Pendagon aka 'swahiba'

No comments:

Post a Comment