Pages

Pages

Thursday, December 20, 2012

JAMBAZI LAPEWA KICHAPO BAADA YA KUKAMATWA KARIAKOO

 
  Mtu anaedaiwa Kuhusika katika tukio la Ujambazi lililotokea Maeneo ya Kariakoo Jijini Dar es Salaam jana akiwa chini ya Ulinzi baada ya kukamatwa. Watu wawili waliuwawa jana na majambazi wakati wakipora fedha.

No comments:

Post a Comment