Pages

Pages

Sunday, December 16, 2012

PONGEZI ZA PEKEE ZIENDE FABAK FASHIONS KWA SAPOTI KUBWA UNIQUE MODEL 2012

Nakushukuru sana mama wa mitindo mama yetu Asia Idarous kwa sapoti yako kubwa sana kwa kipindi chote tangu uzinduzi mpaka leo hii,ni kati ya wabunifu wenye moyo wa tofauti sana kwakua uliichukua project hii kama ya kwako na kuipa sapoti sana.
Mungu akuzidishie kwa mema yote ulioitendea unique model 2012 kwakua umewachukulia unique models kama wanao kabisa..thanx mama asia Idarous Khamsin,salute....

No comments:

Post a Comment