Pages

Pages

Monday, December 17, 2012

TUNAWSHUKURU KITWE GENERAL TRADERS KUDHAMINI UNIQUE MODEL 2012

Tunawashukuru Kitwe General Traders kwa sapoti yako kubwa ulioionyesha kwetu kwa udhamini waliotoa kufanikisha shindano hili la Unique model ambapo fainali zake ni Desemba 28 @New Maisha club kule ushuani Oysterbay.

No comments:

Post a Comment