Pages

Pages

Friday, December 21, 2012

UNIQUE MODELS WAANZA MAZOEZI YA MIONDOKO

 Mchakato wa kuwanoa wanamitindo wa unique model 2012 umeanza,fainali za mashindano haya ni desemba 28 katika ukumbi wa maraha kule oysterbay Maisha club.
 Wancy akitoa maelekezo.
Super man Magese akibonga na baadhi ya wabunifu wa nguo waliokuja kuwapima wanamitindo hao.

No comments:

Post a Comment