Pages

Pages

Wednesday, January 2, 2013

BREAKING NEWZ: MUIGIZAJI SAJUKI AFARIKI DUNIA

Habari za uhakika  zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Msanii Juma Kilowoko almaarufu kwa jina la Sajuki, amefar iki dunia.



Msanii Juma Kilowoko (sajuki)amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili ambako  alikokuwa amelazwa.



Chanzo cha habari kinasema  kuwa msanii huyo hadi umauti unamkuta alikuwa amegundulika kuwa na tatizo la Kansa ya ngozi na upungufu wa damu. 
                                                     Bwana ametwaa ,Amina.
                                                          
    Enzi za uhai wake na mkewe Wastara

No comments:

Post a Comment