KITALE KUFUNGA PINGU ZA MAISHA JUMAPILI HII
Msanii wa Filamu na uchekeshaji maarufu kitale
baada ya kupata maswali mengi sana kwa mashabiki wake,sasa jumapili hii
anatarajia rasmi kupata jiko au lugha fasaha anatarajia kuoa.
Kwa mujibu wa Kitale alisema japokuwa amepitia katika changamoto
mbalimbali za ki maisha na amejifunza mengi na ndiyo sababu ya kuvuta
jiko.
No comments:
Post a Comment