Pages

Pages

Monday, January 7, 2013

NJEMBA APEWA KIPONDO BAADA YA KUIBA KITIMOTO NA BIA

 Kijana mmojaambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akilia kwa uchungu mara baada ya kupokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali mara baada ya kudaiwa ameiba nyama ya Nguruwe (Kitimoto) pamoja na Bia katika glosali jijini Dar es Salaam.
Mmoja ya wasamalia wema akimtetea kijana huyo ambaye alipokea kichapo.
Akijitetea.
Akisaidiwa na wasamalia wema.

No comments:

Post a Comment