Pages

Pages

Wednesday, January 23, 2013

USHAHIDI WA PICHA WA PETER OKOYE WA P SQUARE KUPATA MTOTO WA PILI

Wa katikati kwenye hii picha ndio mwimbaji Peter Okoye wa kundi la P Square kutoka Nigeria ambae mpenzi wake ambae bado hawajafunga ndoa kajifungua mtoto wao wa pili akiwa ni wa kike, wa kwanza ni wa kiume anaitwa Cameron na ana umri wa miaka minne.
Mpenzi wa Peter Okoye aitwae Lola Omotayo akiwa kitandani muda mfupi tu baada ya kujifungua, watoto wao wote wawili wamezaliwa nchini Marekani.

.

Peter Okoye akiwa Marekani january 2013 siku chache kabla ya mke wake kujifungua.
Lola akiwa na mtoto wao wa kwanza wa kiume, (Cameron).

No comments:

Post a Comment