PENZI LA DIAMOND NA PENNIEL LAPAMBA MOTO!
Uvumi ulionea kuhusiana na muunganiko wa mapenzi kati ya Diamond Platnum na DTV VJ Penniel kua ni wapenzi baada ya kusambaa kwa
picha kwenye mitandao ya kijamii inayowaonesha wakiwa pamoja kitandani na kula bata sehemu mbalimbali.
Juzi Diamond alithibitisha rasmi kuwa kwa sasa anajivinjari shuka moja na mdada huy huyo
kwa kupost picha ya Penny kwenye mtandao wa Instagram na
kuandika:.
#MaBabyMama #De’MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz
#YoungPrezident…..
Mwenye
macho haambiwi tizama,pia penniel amekuwa karibu sana na mama Diamond
kwa kipindi hiki ambapo wachambuzi wa mambo ya kichokonozi wanadai ni
katika hali ya kuweka mazingira ya kukubalika ukweni.
No comments:
Post a Comment