RAPPER PREZZO KUFUNGA NDOA NA GOLDIE JUMAMOSI HII
Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali nchini Nigeria, rapper Jackson
Makini aka Prezzo anatarajia kufunga ndoa na mwanamuziki wa Nigeria
Goldie February 9.
Habari hiyo pia imeandikwa na website ya Big Brother Africa. Harusi hiyo itafanyika jijini Lagos, Nigeria.
Katika hatua nyingine mwakilishi wa mwaka jana wa Nigeria kwenye
shindano la Big Brother Africa, anatarajia kuanzisha Reality TV show
yake.Goldie anaanzisha show hiyo iitwayo ‘Tru Friendship’. ‘Tru
Friendship’ itaonesha maisha ya kila siku ya muimbaji huyo wa Skibobo,
Goldie, yote kama mtu maarufu na kama Susan Harvey.
No comments:
Post a Comment