Pages

Pages

Friday, May 10, 2013

UGONJWA ULIMTULIZA MADAM RITA ASIONEKANE

http://2.bp.blogspot.com/-VxF8Xm3DRRQ/T_C2cslKR3I/AAAAAAAAHwk/FC7De_50yk8/s1600/IMG_9924.JPGBaada ya kua kimya kwa muda mrefu, hatimaye Madam Rita Paulsen amefunguka sababu ya ukimya huo wa mda mrefu. Katika page yake ya facebook amefunguka na kusema kua kisa cha ukimya wake wa mda mrefu ni kutokana na kusumbuliwa ma maradhi ambayo hajayaweka wazi. Lakini katika picha hiyo ameonekana akiwa na magongo ya kumsaidia kutembea.

Madam Rita katika page yake ameandika haya

''Kumekuwa na maswali mengi ya kwanini sionekani na niko kimya sana. Kujibu maswali hayo ni kwamba nimekuwa siko sawa kiafya.

Lakini nashukuru Mungu sasa naendelea vizuri. Ahsanteni sana kwa kunionyesha upendo wenu.

No comments:

Post a Comment