Pages

Pages

Monday, June 17, 2013

DADA POA WATIWA MBARONI NA MGAMBO MAENEO YA SINZA



Katika hali ya kustukiza gambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama (Dada poa) katika eneo la Sinza.
Picha hizi ( juu)  zinaonesha  namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria.
 Hata hivyo kama inavyoeleweka huwa ni zoezi gumu sana kuwakamata dada hawa kutokana na vibweka vinavyojili katika zoezi  hili pindi linapojili.

No comments:

Post a Comment