Pages

Pages

Wednesday, June 12, 2013

MISS CHANG'OMBE 2013 KUONDOKA NA BODABODA YA KISASA

 Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka Mnyange wa Redd's Miss Chang'ombe 2013, wakipiga picha ya pamoja huku wengine wakiwa juu ya pikipiki aina ya Lifan ambayo imetolewa na Kishen Enteprises na itakuwa zawadi ya mshindi wa kwanza.
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara na Masoko wa Kampuni ya Kishen Enterprises Ltd, Prashant Dinesh (kulia) akimkabidhi Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Chang'ombe 2013, Thom Chilala pikipiki aina ya Lifan ambayo mshindi wa shindano  hilo mwaka huu ataondoka nayo. Katikati anae shuhudia ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's Primium Cold, Victoria Kimaro na nyuma yao ni wanyange hao.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka Mnyange wa Redd's Miss Chang'ombe 2013, wakipiga picha ya pamoja huku wengine wakiwa juu ya pikipiki aina ya Lifan ambayo imetolewa na Kishen Enteprises na itakuwa zawadi ya mshindi wa kwanza. 
      kwa hisani ya mroki.

No comments:

Post a Comment