Pages

Pages

Monday, June 17, 2013

LANGA KILEO AZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI



Mwili wa Marehemu Langa Kileo aliyefariki dunia wiki iliyopita unatarajiwa kuagwa leo nyumbani kwao mikocheni Dar es Salaam kwa mujibu wa ratiba ya mazishi iliyotolewa mwili wake utawasili nyumbani kwao asubuhi na heshima za mwisho kuanza kutolewa saa saba hadi saa nane baada ya hapo kupelekwa kwenye makaburi ya Kinondono kwa kuzikwa.

No comments:

Post a Comment