Pages

Pages

Monday, July 1, 2013

DIAMOND ALIVYOCHAFUA HALI YA HEWA JIJINI MWANZZA

Diamond The Platnum akikisanukisha ndani ya show ya kubwa iliyopata mashabiki ambao idadi yao haijawahi kutokea ya Tigo Nkabaa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na kupata shangwe za kutosha. 
We wachaaaaa....!!
Shangwe za hapa ilikuwa balaaa.. toka kwa mashabiki kwenda kwa supa staa huyu.

No comments:

Post a Comment