Pages

Pages

Tuesday, July 23, 2013

HUYU NDIE MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTER ALIEMWAGIWA TINDIKALI

MSHTUKO mkubwa ulijiri Jumamosi iliyopita, ikiwa ni baada ya kusambaa kwa habari za kumwagiwa tindikali, mfanyabiashara mwenye ‘levo’ ya ubilionea, Said Said Mohammed, 42, ambaye ndiye mmiliki na Mkurugenzi Mkuu wa Home Shopping Centre 

No comments:

Post a Comment