JOYCE KIRIA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
Jana ni siku nyingine ya Historia kwenye maisha yangu baada ya baba yangu
Michael Francis Iwambo Kiria wa kibosho dakau nganyeni kufariki huko
mkoani Tanga ambako alikuwa akiishi. Kesho ni safari ya kuelekea moshi
kwa ajili ya taratibu za mazishi.
No comments:
Post a Comment