Pages

Pages

Sunday, July 14, 2013

MAMA YAKE Prof JAY AAGWA NA AMEZIKWA LEO


Tunapenda kutoa pole kwa familia ya Marehemu Mama Majanjara, ndugu , jamaa na mwarafiki wote. Mugu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. R.I.P Mama yetu mpendwa.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehem,u Mamayake aliyefariki dunia hivi karibuni kwa ajali ya gari Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam. Mazishi yanafanyika jioni hii Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam. Zoezi hilo lililofanyika nyumbani kwa Mwanae, lilihudhuriwa pia na wasanii mbalimbali wakiwepo wanasiasa.

No comments:

Post a Comment