MR.BLUE ATOROKA HOTELI HOTELINI KUKWEPA DENI LA ELFU 40
Kupitia U
heard ya clouds fm hapo jana, inasemekana msanii Mr Blue amrubuni mfanya usafi wa
hoteli inayoitwa Chriss, iliyoko Tarime, baada ya kuzuiwa kwa mabegi
yake kwa kushindwa kulipa deni la shilingi elfu 40,000.
inasemekana Mr
Blue aliamua kucheza dili na mfanya usafi ili aende akamtolee mabegi
yake na kumpa mtonyo kidogo, ambae alifanya hivyo na Blue kufanikiwa
kuondoka bila kulipa deni hilo, kitu kilichosababisha mfanya usafi huyo
kufukuzwa
No comments:
Post a Comment