Pages

Pages

Wednesday, July 3, 2013

MTU MMOJA AGONGWA NA GARI BUGURUNI

 Ajali hii ilitokea jana jioni  tarehe 02/07/2013, baada ya gari dogo lililokuwa linatokea maeneo ya Ubungo kwenda uelekeo wa Buguruni kumgonga mwenda kwa miguu aliyekuwa anavuka barabara katika maeneo Gereji.

Damu ikimtoka kwa wingi  mara baada ya ajali katika maeneo ya kichwani, angali hapo ilipotokea ajali kuna kivuko cha waendeo kwa miguu.

KWA HABARI ZAIDI BOFYA OLDER POST

No comments:

Post a Comment