OPRAH WINFREY KUTUA BONGO HIVI PUNDE
Inaelekea President Obama kaacha upepo mzuri Tanzania manake
taarifa zilizoifikia millardayo.com muda mfupi uliopita baada tu ya
bondia Evander kuthibitishwa na yeye kuja Tanzania, staa huyu mwingine
wa dunia nae anatarajiwa kufika Tanzania muda mfupi ujao.
Staa huyu mtangazaji Oprah Winfrey ambae amewahi kufanya
interview na mastaa wengine kama marapper Jay Z, 50 Cent na mwimbaji
Rihanna, unaambiwa kuna uwezekano mkubwa kabisa usimuone Dar es salaam
au sehemu nyingine maarufu za town, atakwenda Serengeti moja kwa moja July 13 2013 kwa ajili ya mapumziko tu na kuondokea hukohuko.
No comments:
Post a Comment