Pages

Pages

Wednesday, July 17, 2013

RAIS KIKWETE AFUTURU NA WATOTOYATIMA IKULU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto  yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watot yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo.

Baadhi ya watoto  yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. PICHA NA IKULU 
Baadhi ya watoto  yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.
Baadhi ya watoto  yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.  Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment