Pages

Pages

Tuesday, July 2, 2013

RAIS OBAMA NA GEORGE BUSH WAKUTANA JIJINI DAR LEO

 Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika katika shambulio la Ugaidi katika Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.

Maraisi hao wawili wa dunia wakiwa pamoja nchini Tanzania kuhakikisha mambo yao yanaenda kama ilivyopangwa.

No comments:

Post a Comment