Pages

Pages

Sunday, July 7, 2013

SYLONA NYAMENYO AWA MISS TEMEKE 2013

Mshindi wa Redds Miss Temeke 2013, Sviona Nyameyo (katikati), akiwa na mshindi wa pili,  Narietha  Boniface na mshindi wa tatu,  Latifa Mohamed mara baada ya kutangazwa washindi katika shindano hilo lililofanyika jana TCC Chang'ombe.
Warembo wakiwa wamejipanga tayari kwa mashindano hayo.
Majaji wa mashindano hayo, Albert Makoye, Dk. Lamesh Shah (katikati) na Lucas Lutha (kulia), wakifuatilia kwa makini. 
Redds miss Temeke waliofanikiwa kuingia tano bora.

No comments:

Post a Comment