Pages

Pages

Monday, July 8, 2013

TAMASHA LA MATUMAINI LILIVYOJILI JANA

Mdee na Wolper wakitwangana makonde.
                  Dishhh.. Umekwepa hiyo,Aunt Ezekiel akimsukumia konde butu Mh. Esta Bulaya.
Mgeni wa rasmi wa tamasha la matumaini Raisi Jakaya Kikwete akiongozana na marefa kuingia uwanjani tayari kukagua timu za wabunge wa Simba na Yanga  

No comments:

Post a Comment