
Katika hali isiyo ya kushangaza msanii TID amefunguka kupitia ukurasa 
wake wa facebook na kuonekana kukerewa na gazeti la Baabkubwa na 
kuandika kifuatacho
Hahahaha jamani acheni kumuudhi TID na Ramadan yote hii. Kama mnataka 
ukweli mfateni atawaeleza na si kumzushia kama mwenyewe anavyo dai.
![]()  | 
| Issue yenyewe anayowakia nadhani ni hii kwenye toleo hili linlo dai TID Kuoa Soon. | 

No comments:
Post a Comment