Pages

Pages

Monday, July 15, 2013

TINA TURNER KUOLEWA AKIWA NA MIAKA 73


Mwanamuziki mashuhuri na mkongwe, Tina Turner anategemea kuolewa tena akiwa na umri wa miaka 73 sasa.

Kwa mujibu wa taarifa, mwanamuziki huyo na mpenzi wake, Erwin Bach wanajiandaa kufunga pingu za maisha ndani ya Lake Zurich nchini Switzerland mnamo 21, July (Siku ambayo pia ni kuzaliwa kwa Dan Chibo).

Mahusiano ya Tina na Bach, 57, yalianza wenye kipindi ambacho jamaa alikuwa ni kiongozi kwenye lebo ya utayarishaji yamwanabibi huyo, na wapo kwenye mahusiano toka mwaka 1986 na wamekuwa wakiishi ndani ya Switzerland toka mwaka 1994.

No comments:

Post a Comment