ZITO KABWE: WANANCHI GOMENI KULIPIA Tshs 1000 KODI YA SIMU IMEPITISHWA KINYEMELA
Sakata
la kodi ya line ya simu limeendelea kuwakuna wanasiasa wetu
ambao wamekuwa wakifunguka kwa nyakati mbalimbali kupitia
mitandao ya kijamii....
Baada
ya January Makamba, Zitto kabwe naye amefunguka na kudai kuwa
kodi hiyo ni batili na ilipitishwa kinyemela kwa sababu
ilikuwa imeshaondolewa....
Huu ni ujumbe wake aliouweka katika account yake ya facebook:
Baada
ya kauli hiyo,Zitto Kabwe aliandamwa na maswali mengi sana
toka kwa wananchi wakidai kuwa "Makamba alisema tuwalaumu ninyi
maana ninyi wabunge ndo mlibariki kodi hii"
Zitto
naye alishindwa kulijibu swali hilo na kuwataka wananchi
"wachukue simu zao, wawapigie wabunge wao wawaulize ni kwa nini
walipitisha kodi hii"
"Anasema
hiyo kwa sababu wabunge ndio waliopitisha.Wabunge ndio
wawakilishi wa wananchi.Jambo likipita bungeni hao ndio wa kwanza
kulaumiwa.Yupo sahihi kabisa.Mpigie mbunge wako simu muulize kwa nini
alikubali au hakupinga kodi hii"..Hili ni jibu za Zitto Kabwe
No comments:
Post a Comment