BIG BROTHER UOZO MTUPU KWA MAADILI YA MTANZANIA
Video nyingine ya washiriki wa big brother
imenaswa live wakingonoka kama mbwa....
Katika video hiyo, Angelo na Beverly wanaoneka
wakitenda aibu hiyo wakiwa bafuni wakati wa
kuoga....
Kinachoshangaza zaidi mtu anapewa bendera ya anya upuuzi wa namna hii,kuna umuhimu wa wizara husika ikaliangalia swala hili kwa upana zaidi kwani haya sio maadili yetu watanzania,baba wa taifa hakutuachia haya jamani hata kama ndiyo utandawazi.
No comments:
Post a Comment