Pages

Pages

Wednesday, August 28, 2013

BONDIA PHIL WILLIAMS ATUA DAR

Bondia Phil Williams wa Marekani baada ya kuwasili nchini.
Bondia Phil Williams wa Marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU.
Mdau wa michezo nchini Saidi Kindeka (kushoto) akiwa na bondia Phil Williams wa Marekani.
Bondia Phil Williams wa Marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kumlaki uwanja wa ndege baada ya kutua usiku huu.
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia) akiwa na bondia Phil Williams wa Marekani baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka utakaofanyika Agosti 30, Ijumaa hii katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment