Pages

Pages

Saturday, August 31, 2013

CHEKA NA MASHARI WATOKA KIDEDEA KATIKA MASUMBWI

Bondi Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba na Phill Williams wa Marekani wakati wa kugombania  ubingwa wa WBF uliofanyika katika ukumbi wa diamondi jublee cheka alishinda kwa point
Bonia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Simba Watunduru wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya ijumaa katika ukumbi wa Diamondi Jublee King class alishinda kwa pointi .
Bondia Deo Njiku akioneshana kazi na Alan Kamote wakati wa mpambano wao wa utangulizi Kamote alishinda kwa Point
Bondia Mada Maugo akijikakamua kumpiga konde Thomasi Mashari wakati wa Mpambano wao uliofanyika jana wa kugombania Ubingwa wa WBF AFRICA Mashari alishinda kwa pointi mpambano huo

No comments:

Post a Comment