Pages

Pages

Friday, August 30, 2013

DIAMOND AMZAWADIA GARI MZEE GURUMO KATIKA UZINDUZI WA VIDEO

Huuu ndo mkoko aliopatiwa mzee gurumo ikiwa ni zawadi,mumngu kamuona mzee huyu nguli wa muziki wa dansi nchini Tanzania ambae alitangaza kustaafu muziki hivi punde akiwa hana hata gari mpaka anastaafu fani hiyo,hii ni kuonesha wazee wetu hawa waliusotea sana mziki huu ambapo matunda ya mziki huu yameenda kwenye kizazi kingine cha akina Diamond,tukiohililimetokea usiku wa kuamkia leo ktika uzinduzi wa video mpya ya Msanii huyo wa bongoflava.

No comments:

Post a Comment