Pages

Pages

Sunday, August 18, 2013

DORICE MOLLEL AWA MISS ILALA 2013

 Malkia wa Redd's Miss Ilala 2013, Dorice Mollel (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Alice Isack (kulia) na Mshindi wa tatu Clara Bayo, baada ya kutangazwa washindi
 Warembo wakifanya shoo
 Warembo wakiwa wamejipanga wakati wa kutangazwa washindi watano
 Warembo watano bora
 Sehemu ya umati wa wapenzi wa masuala ya urembo wakishuhudia mpambano huo uliofanyika Ukumbi wa Golden Jubilee, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment