Pages

Pages

Monday, August 26, 2013

KILI MUSIC TOUR 2013- MBEYA

Hapa mwanadada SNURA akiingia na style yake ya NIMEVURUGWA huku akitingisha kichwa na madansa wake ambao ni mpacha wanne uwanja ulilindima kwa shangwe nzito sana kwa style hiyo mpya ya nimevurugwa kwa mara ya kwanza ndani ya MBEYA.Balaa lilizidi zaidi pale alipopiga wimbo wa taifa wa majaga ilikuwa hatari shangwe ziliongezeka sana.

No comments:

Post a Comment