LINAH NA AMINI MAPENZI MOTOMOTO HADI JUKWAANI
Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia
burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye
uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe
la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani
Linah waliyependa naye kwenye stage.
No comments:
Post a Comment